28/07/2024 Rais Cyril Ramaphosa amemteua Manisa Maya kuwa Jaji Mkuu wa Afrika Kusini kuanzia Septemba 1, na kumfanya kuwa mwanamke wa kwanza kuongoza mahakama nchini humo.Uteuzi huo ulifuatia mashauriano …